Photo of legendary Hollywood actor Will Smith on vacation with his family has gone viral on Kenyan Twitter.
Kenyan on Twitter (KOT) have turned it into a meme relieving some of the things their parents used to tell them (still tell them) when they were young.
Below we sampled some of the hilarious tweets (we shall keep updating ?):
"Huku mliamua mtakua mnaingia ile masaa mnataka sindio?" pic.twitter.com/6uCgerpnrP
— Amamacho (@Amamacho) April 18, 2019
"Niwazae, niwalee alafu mkue mnaingiia hii nyumba after Mimi?
Anzeni kulipa rent ama mhame!" pic.twitter.com/IowiBT9rkN— UnpRAWvoked (@karigoh) April 18, 2019
Kuleni sukari yote baba yenu anafanya kazi na Mumias pic.twitter.com/DFEtlhrK3Q
— Uncle Sam (@Gicherengo) April 18, 2019
https://twitter.com/KikkyieKay/status/1118831790737821696?s=19
https://twitter.com/iGachango/status/1118741310452764672?s=19
Eeeeh…
Hesabu ya darasa hamjui. Lakini pocket money hamjawahi shindwa ku hesabu. pic.twitter.com/3t2yt0hPzo— Shoba Gatimu (@shobanes) April 18, 2019
"Umeitwa university sasa. Hebu enda uniletee mimba…Mimi sijakuwa tayari kupokea mchukuu!" pic.twitter.com/sHqdtGP0sE
— The Forgiven (@philbett) April 19, 2019
Mimi na mama yako hamtatuua. Nyinyi ndio mtakufa Kabla yetu. Ama mnataka tufe mfurahi….umeona vile umenuna! Bure… pic.twitter.com/t7DtPmptTq
— TweetingPriest (@PadreMusa) April 19, 2019
https://twitter.com/bryoshavin/status/1118810533522825216?s=19
Hata msifunge curtain. Onyesheni wezi mko na TV pic.twitter.com/4yRuMrdjnk
— Ty (@tyrus_) April 18, 2019
Chai ni ya wageni, nyinyi mtakunywa ikibaki. pic.twitter.com/m2gdXVCurz
— Max (@BettKMax) April 19, 2019
Kazi yenu ni Tv siku nzima kukula… Kushuta shuta huku na kunijazia choo. pic.twitter.com/efwfDlaj85
— Kevin Mboya (@KMboya_) April 19, 2019
“Nimetoka na nitarudi jioni. Msitafute mboga nitakuja mnikule!” If you grew up in shagz you can relate😅🙌🏾 pic.twitter.com/YGXK9tQMRB
— Janet Machuka (@janetmachuka_) April 19, 2019
Hii nyumba sitawai ongea! Never! hamtawahi niskia tena! Vitu lazima muambiwe mara ishirini na hakuna mtu anaskiza.. Nimenyamaza kimya! pic.twitter.com/USXYkcnhOL
— Faith Oriwo 🇰🇪 (@oriwo_faith) April 19, 2019
Ati kwa hii nyumba hakuna mzazi; eh? Huyu nywele ni marasta na mwenzake amepaka nywele vumbi. Ati sasa watu huko nje waseme nalea majangili sindio? Makirimino ndio wanaishi kwangu sindio? Acha nisipige kelele lakini msiseme napenda kushout pic.twitter.com/qn7XYb951C
— Wairimu wa Maingi (@Cate_Maingi) April 18, 2019
Nalipa school fees, vitabu nimenunua, pocket money ndio hio, shopping nimefanya alafu unaleta D kwa nyumba yangu. pic.twitter.com/uevoiWe34m
— ᵥₗₐDᵢₘᵢᵣ Bᵢₙ ₗₐDₑₙ (@AndyMaina_) April 19, 2019
“Nyinyi endeleeni tu kupata ma B na ma C+ …kwa sababu wenye wanapata A wako na vichwa mbili” pic.twitter.com/gsbDCMfygo
— Sweetunda ✨ (@Stacee_stace) April 19, 2019
https://twitter.com/NaomKemunto5/status/1119175604031623168?s=19
"Afadhali ningezaa mandazi ni kule na nurse " pic.twitter.com/3NkPSfbvnA
— MysticMan (@RoynjengaM) April 19, 2019
https://twitter.com/hildahrabut/status/1119509963817279489?s=19